×

Dk Kumbuka Awasuuza Na Kuwasukutua Mwijaku Na Baba Levo -Video

Dk Kumbuka amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Wasanii pamoja na Mastaa nchini wanapaswa kujifunza kupitia Msanii wa Muziki wa Bongofleva Nandy pamoja na Billnass kwa kukamilisha mjengo wao mpya.

Kumbuka amefunguka zaidi ni muhimu wasanii kuacha kuzungumza sana bali wafanye vitendo katika kukamilisha miradi yao.

Leave a Comment