×

Nafasi Za Kazi MDAs NA LGAs, Mwisho wa kutuma maombi Septemba 30, 2024

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 600 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 30 Septemba, 2024

Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/.= (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu
iliyoandikwa‘Recruitment Portal’)

BONYEZA HAPA KUSOMA NAFASI ZA >>>TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs

AHMED ALLY: SARE YA BILA BILA INA FAIDA PANDE ZOTE-WAPINZANI WALIKUWA WAZURI

Leave a Comment