×

Boniface Jacob Akamatwa na Jeshi la Polisi, DCP David Misime Afunguka!

Jeshi la Polisi limeeleza kuwa limemkamata na linamshikilia Meya wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob almaarufu Boni Yai.

Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime imeeleza kuwa Boni Yai amekamatwa kwa makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo na kuwataka wananchi wapuuze taarifa zinazosambazwa mitandaoni kwamba ametekwa.

 

Leave a Comment