×

Waziri Jerry Silaa Ateua Watendaji wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa amewateua Watendaji wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari, kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari Na. 12 ya Mwaka 2016

Uteuzi wa Watendaji wa Bodi hiyo ni kwa Kipindi cha Miaka 3, chini ya Mwenyekiti Tido Mhando

Bodi ya Ithibati ya Wanahabari imeanzishwa kwa Mujibu wa Kifungu cha 11 cha Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari Na. 12 ya Mwaka 2016

MAPYA KESI YA MPINA-HOTUBA YA RAIS SAMIA YAWAIBUA ACT-MAKAMU ANAZUNGUMZA-MAUAJI YA FAMILIA

Leave a Comment