
TIMU ya Arsenal usiku wa kuamkia leo Septemba 20, 2024 wameshindwa kutamba ugenini dhidi ya Mabingwa wa Europa League, Atalanta kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku Barcelona ikichezea kichapo cha 2-1 dhidi ya vigogo wa Ufaransa, Monaco.
Bao la dakika za lala salama la Jose Maria Gimenez limeipatia Atletico Madrid alama tatu dhidi ya miamba ya Ujerumani, RB Leipzig kufuatia ushindi wa 2-1.
FT: Atalanta 0-0 Arsenal
FT: Mônaco 2-1 Barcelona
⚽ Akliouche 16’
⚽ llenikhena 71’
⚽ Yamal 28’
FT: Atlético Madrid 2-1 RB Leipzig
⚽ Griezmann 28’
⚽ Jose Gimenez 90’
⚽ Sesko 4’