×

Yanga Watinga Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

MABINGWA mara 30 ndani ya Ligi Kuu Bara Yanga wametinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 7-0 dhidi ya CBE ya Ethiopia kwenye mchezo wa hatua ya kwanza.

Wananchi wamejikusanyia milioni 30 za goli la Mama baada ya kuandika magoli sita.

Yanga Sc 🇹🇿 6-0 🇪🇹 CBE SA (Agg. 7-0)
⚽ Chama 35’
⚽ Mzize 46’
⚽ Aziz Ki 74’
⚽ Mudathir 87’
⚽ Abuya 90+1’
⚽ Aziz Ki 90+3’

Leave a Comment