
RASMI Kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ambacho kimeegemea kwenye maisha halisi ya Kiafrika kikiwa na simulizi inayogusa maisha ya wengi, kipo mtaani kuanzia sasa.
Usipange kukosa nakala yako kwa ajili ya kulisha chakula ubongo kuhusu suala la maamuzi na kuchanganya mambo mawili wakati mmoja, athari za madawa ya kulevya, elimu, visasi na upendo.
Hakika hii ni kwa ajili yako ambapo unaipata kwa Soft Copy na Hard Copy.
Kutoka kwa mtunzi Lunyamadzo Mlyuka, ikumbukwe kwamba Simulizi hii ilipata nafasi kutoka gazeti la Championi Jumatano, Global Publisher na kimehaririwa na Omary Mdose, Mhakiki Joseph Shaluwa.Tunaomba oda kupitia namba 0756028371.