×

Rais Dkt. Samia Azindua Shule Ya Wasichana Namtumbo Na Kusalimia Wananchi Na Wanafunzi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanafunzi, wazazi na wananchi mara baada ya kuzindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkta. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika kitongoji cha Migeregere kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma tarehe 27 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Shule ya Wasichana Namtumbo na kusalimia Wananchi na Wanafunzi Mkoani Ruvuma, leo Septemba 27, 2024

Rais Dkt. Samia akizindu Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt.. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika kitongoji cha Migeregere kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma tarehe 27 Septemba, 2024.
Rais Dkt. Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt.. Samia Suluhu Hassan .

Leave a Comment