Msanii wa Bongo fleva nchini Oscar Lello ‘Whozu’, wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Attention’ amemshirikisha malkia mpya wa muziki wa Kizazi Kipya, ZUHURA Othman Soud almaarufu Zuchu au Zuuh.