EFM 93.7 yatambulisha ‘jembe’ jipya
Mkuu wa vipindi vya michezo EFM, Maulid Kitenge (kushoto) akimtambulisha mtangazaji mpya wa kike wa michezo, Tunu Hassan Shenkome mara baada ya kufika katika ofisi za EFm jana. Wengine pichani ni Ibrahim Masoud Maestro na Oscar Oscar.