×

Kutoka Oman: Je, Ni Kweli Watanzania Wanaofariki Oman Hawazikwi Kwa Heshima? Ziyuni Afunguka – Video

Wakala wa Wafanyakazi nchini Ziun Mohamed amefunguka kupitia Global TV kutokea nchini Oman na kueleza kuwa Wafanyakazi wanaosafirishwa kwenda Oman ni lazima kupewa elimu kwa eneo analoenda kufanya kazi.

Ziun ameeleza zaidi kuwa unapokuwa mfanyakazi ni muhimu kuhakikisha kuwa unakuwa na uvumilivu wakayi unapofanya kazi nje ya nchi.

Leave a Comment