×

Mzee Wasira Avunja Ukimya, Awachana Chadema “Waliomba Maridhiano” – Video

Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wassira amesema katika chaguzi zote za serikali za kitaa, uchaguzi pekee unaolamamikiwa ni wa 2019 ambao hata hivyo ulishapita na kueleza kuwa anaamini watu wakijitokeza kupiga kura, na tume huru ya uchaguzi ikaendesha zoezi hilo kwa uwazi, uchaguzi wa serikali za mitaa utapita kwa amani.

Leave a Comment