×

Watu zaidi ya 10 wapoteza maisha baada ya lori la mafuta kulipuka Uganda

Miili zaidi ya 10 imepatikana katika eneo ambalo lori la mafuta lililipuka katika kitongoji cha Kigoogwa kwenye viunga vya kaskazini mwa jiji, kwenye barabara inayounganisha Kampala na mji wa kaskazini wa Gulu, polisi walisema.

Polisi walisema lori hilo la mafuta lilipinduka na watu kadhaa walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa.

Video zilizotumwa kwenye mtandao wa kijamii wa X zilionyesha lori hilo la mafuta likiwa limelala ubavu huku baadhi ya wakazi wakilikimbilia wakiwa wamebeba mikebe ili kuchota mafuta.

SOFTENA na HARMONIZE KIMEUMANA -BAADA ya KUPOSTIWA na HARMO -KUMBE VIDEO ZAKE ANAYEMREKODI ni MUMEWE

Leave a Comment