×

Lulu Diva Ashindwa Kuvumilia Amlilia Ombeni, Atoa Machozi Kama Mtoto – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Lulu Diva amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa wakati Ombeni anaumwa alikuwa anafahamu.

Lulu Diva ameelezea zaidi kuwa wakati aliporudishwa hospitali hakuwa anafahamu mpaka umauti ulipomfikia, japokuwa aliambiwa kuwa anaumwa kichwa.

LULU DIVA ASHINDWA KUVUMILIA AMLILIA OMBENI – ATOA MACHOZI KAMA MTOTO – HUZUNI YAMTAWALA….

Leave a Comment