Miongoni mwa mambo ambayo marehemu Grace Mapunda almaarufu Tesa alikuwa akilisema waziwazi, ni kwamba tangu alipoanza kuigiza filamu miaka mingi iliyopita, hakuwahi kupata mafanikio ya kiuchumi kama aliyoyapata kupitia Tamthiliya ya Huba.