×

Uchaguzi Marekani: Shangwe Laibuka – Trump Atangaza Ushindi Akiwahutubia Wafuasi, Ushindi Wa Ajabu – Video

Aliyekuwa Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump.

Aliyekuwa Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump ametangaza kushinda tena Urais wa Taifa hilo kwa takriban 51.2% ya kura dhidi ya 47.4 % za Kamala Harris na hivyo kuwa Rais wa 47 akitarajia kurejea Ikulu ya WhiteHouse

Hadi sasa Trump amefikisha Kura za Wajumbe (Electoral Votes) 267 kati ya 270 zinazotakiwa, huku Kamala akiwa na Kura 224. Kwa upande wa Kura za Wananchi Trump ana 68,654,143 na Kamala ana 63,558,470

Leave a Comment