×

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Kongamano La Jumuiya Ya Waislamu Wa Shia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 10, 2024 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu na Kongamano la Umuhimu wa Amani kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Kongamano hilo linaloratibiwa na Jumuiya ya Waislamu wa SHIA Tanzania, linafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

HUJUMA KUBWA ZABAINIKA SGR – WATU WANAKATA NYAYA za UMEME – KAMATI ya BUNGE WAFUNGUKA…

Leave a Comment