Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ali Kamwe amefunguka kupitia Global TV na kueleza sababu mbili zilizopelekea klabu yao kuhama Azam Complex na kuhamia katika dimba la KMC Complex.
Pia Kamwe amefunguka na kueleza kuhusu Miguel Gamondi.