×

FIFA Yaifungia Yanga kusajili Kimataifa kwa Kushindwa Kumlipa Okrah

Augustine Okrah

FIFA imeifungia Yanga Sc kusajili kimataifa kwa kushindwa kumlipa aliyekuwa mchezaji wao Augustine Okrah na pia kuagiza Shirikisho la Soka Tanzania kuwafungia mara moja kufanya usajili wa ndani.

Leave a Comment