×

Aliyezaa Na Aziz Ki Afunguka – ”Sijutii Chochote, Najivunia Kuwa Mama” – Video


Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini anayedai kuzaa na nyota wa Yanga Aziz Ki, Vannesa Kashera amefunguka kupitia GLOBAL TV, na kueleza kuwa hajutii kuwa mama na ana furaha isiyoelezeka.

Leave a Comment