×

Ubunifu wa Kipekee Ndani ya Lite Your Imagination

Ulikuwa usiku wa kipekee na wa kihistoria kwa wadau wa masoko, ubunifu na ulimwengu wa filamu ukiongozwa na star wa muziki nchini Diamond Platnumz, Naibu Waziri Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Hamis Mwinjuma na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa Dkt. Kedmon Mapana ambapo Serengeti Breweries Limited walizindua kampeni yao iitwayo Lite Your Imagination yenye kuwahamasisha Vijana kuwa wabunifu na kuzishikilia ndoto zao.
Kampeni hiyo iliambatana na uzinduzi wa tangazo la TV la bia ya @serengetibeer iliyofanywa na Diamond Platnumz.
#LiteYourImagination.

Leave a Comment