
BASI lililokuwa limewabeba Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waliokuwa wakielekea kwenye mashindano ya michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limegongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande, Kongwa mkoani Dodoma asubuhi ya leo Desemba 06, 2024.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa katika Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamin Mkapa zote za mkoani Dodoma.

MBUNGE GEKUL – “WALIUNDA GENGE la MAADUI ZANGU KISIASA -NIACHIENI ROHO YANGU” -AMVAA WAKILI MADELEKA