×

Polisi Wawili Wauawa kwa Risasi Dodoma

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi George Katabazi.

Askari Polisi wawili wa wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, wamefariki dunia usiku wa kuamkia Desemba 18, 2024, katika majibizano ya risasi kati yao na mtuhumiwa wa ujambazi baada ya kufika nyumbani kwake kwa ajili ya kumkamata.

Leave a Comment