×

Lema Abananishwa Maswali Mazito Kumuunga Mkono Lissu – Video

Mwanasiasa machachari na Mbunge wa Zamani wa Arusha, Godbless Lema.

Mwanasiasa machachari na Mbunge wa Zamani wa Arusha, Godbless Lema amesema anamuomba Freeman Mbowe apumzike na kumuachia Tundu Lissu nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.

Lema amesema msimamo wake upo wazi na kwamba anamuunga mkono Tundu Lissu huku akisisitiza kwamba Mbowe amefanya mambo mengi makubwa kwa ajili ya chama lakini umefika muda wa kupumzika.

Leave a Comment