×

Deogratius Mahinyila Ashinda nafasi ya Uenyekiti Bavicha – Video

Deogratius Mahinyila ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Baraza la Vijana Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) baada ya kupata kura 204, sawa na asilimia 64 na kumshinda Hamis Masoud aliyepata kura 112 sawa na asilimia 35.

Mahinyila alikuwa akiungwa mkono na mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambapo baada ya jina lake kutangazwa, wajumbe wamesikika wakiimba na kulitaja jina la Lissu.

Leave a Comment