×

Mjue Sultani Makenga – Kamanda Wa Kundi La M23 Linalosumbua Vichwa Vya Marais Wa Afrika Mpaka Kutaka Kuzichapa – Video

Sultani Makenga

Hivi sasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inakabiliwa na mapigano makali kati ya jeshi la serikali na waasi wa M23 katika mji wa Goma, mashariki mwa nchi. Mapigano haya yamesababisha maelfu ya raia kukimbia makazi yao na mamia kuaawa – lakini ni nani hasa huyu kiongozi wa M23 ambaye ameleta kizaa chochote hiki?
Global TV inachambua kwa undani sakati zima, tukianza na kukuletea ASILI HASA YA SAKATA HILI limeanza kuzua mgogoro na malumbano mengine miongozi mwa viongozi wa Afrika Maskariki, Kati na kusini…