Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Mhe. Tundu Lissu amesalimiana na wananchi wa Manyoni akielekea katika mapokezi Nyumbani kwao Ikungi tangu kuchaguliwa kwake kuwa mwenyekiti wa Chama Taifa ambapo atakuwa na mkutano wa hadhara wa kuwahutubia wananchi wa eneo hilo na watanzania kwa ujumla kupitia mitandao mbalimbali.