×

Tabasamu Kali Unalipata Meridianbet Leo kwenye mechi zako zote!

Meridianbet, kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania leo hii inakupatia machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi zako zote ambazo utataka kubashiri. Pesa kibao zipo hapa ingia na ubeti sasa.

Tukianza na SERIE A kule Italia leo hii kuna mtanange mkali kabisa ambapo Juventus baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo atamleta kwake Hellas Verona ambaye naye pia alishinda. Kila timu inahitaji ushindi leo hii isogee nafasi ya juu. Je vijana wa Motta wanaweza ingia TOP 4 leo?. 1.35 kwa 9.40 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Shinda mshindo wa maana na Meridianbet leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Aviator,Keno na mingine kibao.

Huku kule Uingereza kombe la FA raundi ya 5 litaendelea kwa mchezo mkali leo hii kati ya Nottingham Forest vs Ipswich Town. Kwenye ligi vijana wa Nuno wapo nafasi ya 3 huku mgeni wao akiwa nafasi ya 18. Tofauti ya pointi kati yao ni 31 huku mgeni akitaka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi yao iliyopita. Meridianbet wanawapa nafasi kubwa ya kushinda 1.75 kwa 4.60. Bashiri hapa.

Vilevile pale Hispania LALIGA kutakuwa na mechi kali kabisa kati ya Villarreal dhidi ya Espanyol Barcelona huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 5 na mgeni wake nafasi ya 15 mpaka sasa. Nyambizi wa Njano ndio wanaopendelewa kuondoka na ushindi leo hii kwa ODDS 1.45 kwa 7.00. Jisajili hapa.

Lakini pia unaweza ukabashiri mechi ya ligi kuu ya Ureno yaani PRIMEIRA LIGA ambapo Sporting Lisbon watamenyana vikali dhidi ya Estoril ambao wapo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mechi zao 9. Mwenyeji yupo nafasi ya 1 huku mara ya mwisho walipokutana Lisbon aliondoka na ushindi. Je leo pia ataendeleza ubabe akiwa nyumbani kwake?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.20 kwa 12.