×

Lori La Mizigo Dar Laparamia Gari, Bajaji Na Dalala – (Video +Picha)

Ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo Machi 14, 2025 katika eneo jirani na Moshi Bar, Ukonga jijini Dar es Salaam baada ya lori aina ya Hino kupata hitilafu ya breki na kwenda kuligonga gari dogo na Bajaj, huku gari dogo lililogongwa nalo likiigonga daladala.