
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa amepokea kibali cha Ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu – Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024. Hivyo, watanzania wote wenye sifa na uwezo wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kujaza nafasi zifuatazo:
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 05 April, 2025 saa 6.00 Usiku.
