×

Shekhe Kandauma: Ni Haramu Kwa Mwanaume Kumnunulia Abaya Mwanamke Ambaye Hajamuoa – Video

Kupitia kipindi cha Mapito, Shekhe Kandauma ameeleza kuwa ni haramu kwa mwanaume kumnunulia Abaya mwanamke ambaye hajamuoa.

Video kamili ipo YouTube ya Global TV

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.