×

Yanga Yailowesha Tabora United Mabao 3 – 0

Dakika 90 zimemalizika katika Dimba la Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ambapo Yanga wameilowesha Tabora United kwa jumla ya mabao 3-0.