×

TAMISEMI Yatoa mwezi mmoja kwa Wahitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa

SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadaye.

Utaratibu huo umeanza Machi 31 hadi Aprili 30 mwaka huu.