×

Saleh Jembe Awabebesha Zigo La Lawama Yanga Ishu Ya Derby – ”Wao Ndiyo Wamesababisha” – Video


Mchambuzi wa soka nchini, Saleh Jembe amefunguka na kueleza kuwa waliosababisha hili jambo ni klabu ya Yanga SC isingekuwa wao kuwazuia Simba SC basi tusingefika huku.

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.