
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika Ikama na bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025.
Hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama ifuatavyo:-
NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MJI MASASI >>> BONYEZA HAPA