×

Meridianbet Yaleta Faraja kwa Mama Wajawazito Hospitali ya Sinza

Jumatano ya mwisho wa mwezi Juni imekuja kivingine ndani ya Meridianbet ambapo wakali hao wa ubashiri wameenda hospitali ya Palestina kule Sinza kwaajili ya kutoa msaada wa vyandarua.

Mama wajawazito na ambao bado hawajajifungua wanahitaji kulalia vyandarua vyenye ubora na pia ambavyo ni safi na salama hivyo Meridianbet kwa kujua umuhimu wa kulinda afya ya mama na mtoto waliamua kupeleka msaada huo mara moja kwaajili ya kurejesha kwenye jamii.

Hospitali ya Palestina Sinza ni moja ya hospitali ambayo ipo katikati ya mji hivyo hupokea wanawake wengi ambao wanataka kujifungua na watoto hivyo Meridianbet waliona kuwa kutokana na uwingi huo wa kina mama waliona wapeleke vyandarua kama msaada kwenye hospitali.

Zoezi hili lililenga kusaidia akina mama wajawazito, waliotoka kujifungua pamoja na watoto wachanga katika hospitali hiyo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Meridianbet katika kupambana na ugonjwa wa malaria unaoathiri kwa kiwango kikubwa makundi hayo maalum.

Hii ni kawaida kwa Meridianbet kwani imekuwa ikifanya hivi kila mwezi hata mara mbili kuwafikia wenye uhitaji kwenye jamii yetu ambayo inatuzunguka kila siku kwani wanaamini kuwa bila jamii wao sio kitu, hivyo kile kidogo ambacho wanakipata basi wanakirejesha kwenye hiyo hiyo jamii.

Ukiachana na hilo, Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya Kasino ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Msafara huo wa kufika hospitali ya Palestina Sinza ambayo pia sio mara ya kwanza kuwapelekea msaada wa vitu mbalimbali, uliongozwa na Mhariri wa Kampuni hiyo Bi Nancy Ingram pamoja na timu yake nzima ambapo walipokelewa vizuri kabisa na Hospitali hiyo.

Akizungumza wakati wa tukio hilo, Mwakilishi kutoka Meridianbet alisema, “Tunaamini afya bora ni msingi wa maendeleo ya jamii. Kupitia zoezi hili, tunalenga kuhakikisha mama na mtoto wanapata ulinzi dhidi ya malaria, hasa katika kipindi hiki muhimu cha maisha yao.”

Baada ya kupokea msaada huo wa vyandarua Hospitali ya Palestina waliishukuru sana Meridianbet kwa kuendelea kuwashika mkono kwani kina mama wengi hupenda kwenda kujifungulia katika hospitali hiyo hivyo uhitaji unakuwa mwingi.

Zoezi hili limepokelewa kwa shangwe na furaha na wafanyakazi wa eneo hilo pamoja na wagonjwa waliokuwa wakihudumiwa katika hospitali hiyo. Ni dhihirisho la namna sekta binafsi inavyoweza kushirikiana na taasisi za afya katika kuinua ustawi wa jamii.

Pia Meridianbet inakukumbusha kuwa leo kuna mechi kibao za kubashiri Duniani ikiwemo na ligi kuu ya Tanzania. Suka jamvi lako la ushindi hapa. Jisajili hapa.