
Mwanadada machachari kutoka Tanzania, Rosemary Range amejinyakulia tuzo ya “Mshawishi wa Mitandao Anayeinuka Kwa Kasi Zaidi” katika hafla ya EAEA iliyofanyika jijini Nairobi.
alivutia macho ya wengi alipowasili na mbwembwe ukumbini akiwa amevalia vazi la kisasa lenye muonekano mzuri.