×

Luhaga Mpina Kuchukua Fomu ya Kugombea Urais Leo Dodoma

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, anatarajiwa kuchukua fomu ya kuwania urais leo Ijumaa, Agosti 15, 2025 saa 9:30 alasiri.

Shughuli hiyo itafanyika katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zilizopo jijini Dodoma.