×

Kirumbe Shaaban Ng’enda Ateuliwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi CCM

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi, Shaaban Kilumbe Ng’enda (kulia) 

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Kirumbe Shaaban Ng’enda kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi, moja ya jumuiya kuu za chama hicho.