
Hii ni habari njema na kubwa kwa wapenzi wote wa michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet, kwani wana nafasi ya kujishinda bonasi ya beti za bure mpaka 500 kila siku kwa kufanya kitu kidogo tu, kutengeneza mchanganyiko wa machaguo mbalimbali kwenye mchezo pendwa wa Win&Go. Ni kupitia promosheni ya Non-Stop Win&Go Drop, promosheni kabambe kwa ajili yako.
Meridianbet imekuwa ikitoa bonasi kibao kama mizunguko ya bure, Bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya, na promosheni kila kukicha, na sasa wamewakumbuka wapenzi wa Win&Go kwa kuja na promosheni hii kubwa na ya kibabe kabisa. Yaani unaingia mchezoni na ghafla tu unapigwa bonusi ya beti za bure. Yaani unapewa uwezo wa kuweka beti zako bila kutumia dau lako halisi.
Win&Go ni mchezo wa bahati nasibu wa kuvutia unaotolewa na Expanse Studios. Ni mchezo unaokuruhusu kuchagua jumla ya namba 6 hadi 10 kati ya jumla ya namba 48, na kisha kungojea matokeo yanayotolewa kila baada ya dakika tano. Ushindi kwenye mchezo huu ni pale namba ulizozichagua zikitokea baada ya mzunguko husika.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Lakini kuna kitu cha kufurahisha zaidi, ni nafasi maalum kwenye droo zinazojulikana kama “Nafasi za Zawadi” ambazo ikiwa moja kati ya zile namba zako ulizozichagua iko humo, utapata pesa yako uliyoicheza hata kama hukushinda. Na kama ikitokea namba zako mbili ziko kwenye hizo nafasi maalum, ushindi wako unakuwa mara nne. Pia, kuna “Mzunguko wa Dhahabu”, ambazo zinakupa fursa ya kushinda mara dufu.
Sasa baada ya ofa hizi zinazopatikana kiuwepesi kabisa kwa kucheza Win&Go, halafu Meridianbet wanakupa na hii ofa mpya ya tiketi za bure. Upewe nini tena mpenzi wa michezo ya kasino mtandaoni? Meridianbet wanazidi kuonyesha ni kwa namna gani wanawathamini na kuwapenda wateja wake.
Jisajili sasa na Meridianbet ili kuwahi fursa hii ya kupata tiketi za bure kushiriki mchezo huu wa Win&Go. Kujisajili ni rahisi sana, ingia kwenye tovuti ya Meridianbet au pakua application ya simu kisha ufuate taratibu zilizowekwa pale ili kujipatia akaunti yako na uanze kuishi na kucheza kibingwa zaidi.