
Usiku wa leo, mashabiki wa soka barani Ulaya na duniani kote wanatarajia burudani ya hali ya juu katika raundi ya pili ya hatua ya ligi ya UEFA Champions League. Timu 18 zinashuka dimbani kutafuta alama muhimu kuelekea hatua ya mtoano. Wabashiri, huu ndo wakati uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kwani fursa ya ushindi ni kubwa pale meridianbet.
Atalanta anakutana na Club Brugge dimbani Gewiss Stadium. Atalanta, waliopokea kipigo kizito kutoka PSG kwenye mechi ya kwanza, wanahitaji ushindi dhidi ya Club Brugge. Wakiwa nyumbani, Waitaliano hao wana nafasi ya kurekebisha makosa, lakini Brugge walionyesha makali kwa kuichapa Monaco 4-1.
Real Madrid, mabingwa mara nyingi wa michuano hii, wanakutana na Kairat Almaty kutoka Kazakhstan. Madrid walishinda 2-1 dhidi ya Marseille kwenye mechi ya kwanza, huku Kairat wakichapwa 4-1 na Sporting CP. Los Blancos wanaonekana kuwa na kazi nyepesi kwenye mchezo huu, na kupitia meridianbet unaweza weka bashiri yako mapema.
Kwa mashabiki wa soka na wabashiri wa kweli, usiku huu ni wa kuchagua kwa akili na kuweka bashiri sahihi huku michezo mingine mbalimbali ya kasino mtandaoni ikiendelea kutoa matajiri. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# kujiunga na ushinde sasa.
Atletico Madrid baada ya kupoteza kwa Liverpool 3-2, wanahitaji kujibu mapigo wakiwa pale Metropolitano dhidi ya Frankfurt waliowashangaza Galatasaray kwa ushindi wa 5-1. Mechi hii inatarajia kumuona Diego Simeone akija na mbinu mpya ya kupata ushindi nyumbani.
Bodoe/Glimt wapo nyumbani kuwakabili Tottenham Hotspur. Tottenham walianza kwa ushindi mwembamba dhidi ya Villarreal, lakini safari ya kwenda Norway si rahisi. Bodoe/Glimt walitoka sare ya 2-2 dhidi ya Slavia Prague, na wanajulikana kwa soka la kushambulia wakiwa nyumbani. Spurs wanahitaji umakini mkubwa ili kuondoka na alama zote. Odds kwenye mchezo huu ni bomba sana.
Chelsea watacheza dhidi ya Benfica pale Stamford Bridge, na mechi hii inavutia zaidi kutokana na kurejea kwa Jose Mourinho kama kocha wa Benfica, miaka 25 baada ya kuanza kazi yake ya ukocha. Chelsea walichapwa 3-1 na Bayern Munich, huku Benfica wakipoteza kwa Qarabag licha ya kuongoza 2-0. Ushindi ni lazima kwa pande zote mbili.
Liverpool walionyesha roho ya ushindi kwa kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Atletico, na sasa wapo Istanbul kuwakabiri Galatasaray. Galatasaray, waliopigwa 5-1 na Frankfurt, wanahitaji kujipanga upya. Arne Slot ana kikosi kipana chenye kasi na uzoefu, na wanatarajiwa kuendeleza rekodi nzuri ugenini.
Bayern Munich walionyesha ubabe kwa kuichapa Chelsea 3-1, na sasa wanakuja Cyprus kukutana na Pafos FC waliotoka sare ya 0-0 dhidi ya Olympiacos. Kwa kikosi chenye nyota kama Harry Kane, Bayern wanatarajiwa kuendeleza makali yao. Basjiri mchezo huu na meridianbet kwa uhakika wa pesa yako.