×

Meridianbet Yapima Nguvu za Vigogo EPL: Arsenal, Liverpool Wapewa Kipaumbele

Pesa nje nje ndani ya Meridianbet siku ya leo. Leo hii unaweza ukabashiri timu ambazo zina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu pale nchini Uingereza. Meridianbet imetoa Odds kubwa kwa timu hizo hivyo tengeneza jamvi lako la ushindi mapema na usubiri mwisho wa msimu kushangilia.

Arsenal baada ya kumaliza nafasi ya pili msimu uliopita na kiwango wanachozidi kukionyesha sasa ndani ya ligi, Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa wa msimu huu. Mpaka sasa kwenye michezo 6 waliyocheza, wamefanikiwa kushinda michezo minne, sare moja na wamepoteza mchezo mmoja huku wakifunga magoli 12 na kuruhusu matatu pekee. Arsenal kapewa Odd ya 2.20 kuibuka bingwa wa msimu huu.

Liverpool ambaye ni bingwa mtetezi wa ligi hii, ameanza msimu kwa kishindo akiwa amepoteza mchezo mmoja pekee na kushinda michezo mitano. Mpaka sasa, Liverpool yupo juu kwenye kilele cha msimamo wa ubingwa lakini hii haimfanyi kupewa nafasi ya kwanza na meridianbet ila ameaminiwa kwa kupewa Odd ya 2.75. Kwako mbashiri, kwa kiwango cha Liverpool msimu huu, unaweza bashiri kama unamuona akiibuka bingwa na kuutetea ubingwa wake.

Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.

Nafasi ya tatu ya nani anaweza kuibuka bingwa wa EPL amepewa Manchester City. Man City hawakua na mwanzo mzuri kwa msimu huu wakikubali vipigo viwili na sare moja kwenye mechi sita walizocheza hivyo kumuweka nafasi ya saba ya msimamo wa ligi. Lakini ligi bado ni mbichi na Man City ana rekodi kubwa ndani ya ligi hii. Meridianbet wamempa Odd ya 6.05. Odd kubwa inakupa nafasi ya kujishindia kwa kiwango kikubwa.

Chelsea ni timu nyingine iliyopewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa EPL na Meridianbet. Blues wameingia msimu huu wakiwa mabingwa wa kombe la Dunia la vilabu, bila kusahau wao ni mabingwa wa Uefa Conference League. Chelsea wapo nafasi ya nane wakishinda mechi mbili, sare mbili na vipigo viwili. Nafasi ya wao kuwa mabingwa wa EPL imepewa Odds 35 pale Meridianbet. Hii ni fursa ya kushinda mkwanja wa kutosha mwisho wa msimu.

Mwingine anayefata kwenye nafasi ya tano ni Tottenham Hotspurs. Hawa wametoka kutwaa ubingwa wa kombe la Uefa Europa League msimu uliopita. Mpaka sasa wamecheza michezo sita na kushinda mitatu, wamepoteza mchezo mmoja na sare mbili. Nafasi ya wao kuchukua ubingwa sio kubwa sana na Meridianbet wamewapa Odd ya kibabe ya 52. Huu ni utajiri.

 

 

Leave a Comment