
Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma Abdallah akisafisha kioo cha gari cha mmojawapo wa wateja waliofika kituoni kupatiwa huduma ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo kwa mwaka 2025 inasherehekewa Oktoba 6-10 duniani kote, ikibeba kauli mbiu ya ‘INAWEZEKANA’. Uongozi na wafanyakazi wa kampuni hiyo walijumuika katika vituo mbalimbali kukutana na wateja wao na kuwashukuru kwa kuendelea kuchagua na kutumia bidhaa na huduma zao nchini kote.
Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma Abdallah akiangalia oil ya gari la mmojawapo wa wateja waliofika kituoni kupatiwa huduma ikiwa ni sehemu ya kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja ambapo kwa mwaka 2025 inasherehekewa Oktoba 6-10 duniani kote, ikibeba kauli mbiu ya ‘INAWEZEKANA’. Uongozi na wafanyakazi wa kampuni hiyo walijumuika katika vituo mbalimbali kukutana na wateja wao na kuwashukuru kwa kuendelea kuchagua na kutumia bidhaa na huduma zao nchini kote.

Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma Abdallah akiweka oil kwenye gari la mmojawapo wa wateja waliofika kituoni kupatiwa huduma ikiwa ni sehemu ya kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja ambapo kwa mwaka 2025 inasherehekewa Oktoba 6-10 duniani kote, ikibeba kauli mbiu ya ‘INAWEZEKANA’. Uongozi na wafanyakazi wa kampuni hiyo walijumuika katika vituo mbalimbali kukutana na wateja wao na kuwashukuru kwa kuendelea kuchagua na kutumia bidhaa na huduma zao nchini kote.

Mteja akifurahia zawadi kutoka kwa mfanyakazi wa Puma Energy Tanzania baada ya kupata huduma katika kituo cha kampuni hiyo.