The House of Favourite Newspapers
gunners X

BoT yauza dola milioni 20 katika Soko la Jumla la Fedha za Kigeni

0

Benki Kuu imeuza Dola za Marekani milioni 20.00 kupitia mnada wa ushindani kwa kiwango cha wastani cha kubadilisha fedha za kigeni cha Shillingi 2,447.55 kwa Dola moja ya Marekani. Lengo la mnada huu lilikuwa ni kuongeza ukwasi katika soko la fedha za kigeni.”

Leave A Reply