×

Nafasi Mpya ya Ajira: Customer Care Wanaohitajika Mara Moja

Nafasi ya Kazi: Customer Care

Tunakaribisha maombi kutoka kwa waombaji wenye sifa stahiki kwa ajili ya nafasi ya Customer Care. Mteule atakuwa na jukumu la kuhudumia wateja katika maduka yetu yaliyopo kwenye Malls mbalimbali, kuhakikisha huduma bora na kuongeza uzoefu mzuri wa mteja.

Majukumu ya Kazi

  • Kuwahudumia wateja kwa weledi na ustaarabu

  • Kujibu maswali na kutoa taarifa sahihi kwa wateja

  • Kuhakikisha mazingira ya huduma yako bora na yenye kuridhisha

  • Kufanya mawasiliano mazuri na timu na kufuata taratibu za kazi

  • Kuwakilisha kampuni kwa umakini na nidhamu

Vigezo vya Muombaji

  • Awe na uelewa mzuri wa mawasiliano (Good communication skills)

  • Awe na huduma bora kwa wateja (Customer care skills)

  • Awe na uwezo wa kuongea vizuri na kushughulika na wateja

  • Awe na nidhamu ya kazi

  • Awe tayari kufanya kazi kwenye maduka yaliyopo ndani ya Malls

  • Waombaji wa kike pekee wanahitajika kwa nafasi hii

Mshahara

Tsh 450,000 kwa mwezi

Jinsi ya Kuomba

Kwa mawasiliano na kutuma maombi, tafadhali piga au tuma ujumbe kupitia namba:
📞 0656 116 023

#ZILIZOVUMA: WANAJESHI 6 WA ISRAEL WAJERUHIWA MAPIGANO SYRIA -MAREKANI YADHIBITI ANGA VENEZUELA..

Leave a Comment