×

Yanga Yamsajili Mshambuliaji Mwanengo kutoka TRA United

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Emmanuel Samuel Mwanengo kutoka TRA United.

Mwanengo (22) raia wa Tanzania amesaini mkataba wa miaka miwili.

Leave a Comment