Lori lenye usajili wa namba T797 BTH likiwa limebeba kontena limeacha njia na kuingia katika mtaro katika barabara ya Mandela karibu na Uwanja wa Taifa jijini Dar mchana wa leo.
PICHA: DENIS MTIMA/GPL