The House of Favourite Newspapers
gunners X

CHADEMA Yalalamikia Kufungiwa Namba ya Michango ya Brenda Rupia

0
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa namba ya simu ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia, iliyokuwa ikitumika kupokea michango kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa chama, imefungiwa na Kampuni ya Airtel Tanzania tangu Januari 19, 2026.

Leave A Reply