Prof. Shemdoe na Balozi wa Norway Wakutana na Kujadili namna ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi
Aidha, Prof. Shemdoe ameishukuru Serikali ya Norway kwakuwa mmoja wa wadau wa maendeleo katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, na kuiomba nchi hiyo kuendelea kuchangia maendeleo nchini kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo inagusa maisha ya Watanzania.









Comments are closed.