×

Picha: Rais Akiteta na Makamu na Waziri Mkuu‏

IMGS7360Rais John Magufuli akiteta na Makamu wa Rais, Bi. Samia Suluhu na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kumwapisha katibu Mkuu, Kiongozi Mhandishi Joh Kijazi , Ikulu jijini Dar es Salaam Machi 7, 2016.

(Picha na fis iya Waziri Mkuu)

Leave a Comment